06FEB
Upandaji Miti
Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda Akishriki na Kuongoza Zoezi la Upandaji Miti , Wengine ni Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule , Mkurugenzi Mkuu wa PPRA Ndugu Dennis Simba na Mwenyekiti wa Shirika la Habari Conservation Organization, ambapo katika Tukio Hilo lililoandaliwa na Habari Conservation Organization Kwa kushirikiana na PPRA Miti 1000 imepandwa Dodoma.